PICHA MBALIMBALI ZA MECHI KATI YA UJERUMANI NA BRAZIL AMBAPO UJERUMANI ILIIGUNGA BRAZIL 7-1

UJERUMANI imetinga Fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuwafumua wenyeji, Brazil mabao 7-1 katika mcheo wa Nusu Fainali uliofanyika Uw...

UJERUMANI imetinga Fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuwafumua wenyeji, Brazil mabao 7-1 katika mcheo wa Nusu Fainali uliofanyika Uwanja wa Mineirao mjini Belo Horizonte, Brazil.

 Thomas Muller alipofunga bao la kwanza baada ya mabeki kukosea kukaba mpira wa kona



 Shangwe kwa Ujerumani
 Mashabiki wa Brazil hawaamini kilichokuwa kinatokea uwanjani




              Miroslav Klose
 David Luiz akimwaga chozi baada ya kupata kipigo cha bao 7 - 1
Scolari akizungumza na wachezaji wake baada ya kufungwa mabao 7-1 na Ujerumani.

Ujerumani inaingia Fainali kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12- mara ya mwisho ilifungwa na Brazil katika fainali zilizoandaliwa kwa pamoja na Korea Kusini na Japan na sasa watamsubiri mshindi wa kesho kati ya Argentina na Uholanzi.

Related

OTHER NEWS 1705291182889010049

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item