STEPHEN KESHI AJIUZULU KAMA KOCHA WA NIGERIA {SUPER EAGLES)

Kocha wa Nigeria, Stephen Keshi amejiuzulu kama kocha wa timu hiyo ya Naija baada ya kuondolewa jana kwenye kombe la dunia, FIFA ime...


Kocha wa Nigeria, Stephen Keshi amejiuzulu kama kocha wa timu hiyo ya Naija baada ya kuondolewa jana kwenye kombe la dunia, FIFA imesema.

Shirikisho la soka la Nigeria bado halijathibitisha kujiuzulu kwake japo ana maswali mengi ya kujibu baada ya timu yake kufungwa 2-0 na Ufaransa Jumatatu hii. FIFA.com imenukuu tweet ya Keshi, japo mapema wakati wa shindano hilo maafisa wa Nigeria walisema hayupo kwenye mtandao huo.

“Friends, it has been a good run and I have enjoyed every moment. It’s been an honour coaching the Super Eagles. It is however time to bow out,” ilisema tweet hiyo.

Related

OTHER NEWS 3927144506689536942

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item