MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA KUHUSU MITAALA KWA VYUO VYA KIISLAM, MOROGORO

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana waka...

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana wakati akiwasili katika ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake  wakati akiwasili wa ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na OMR
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, wakati akiwahutubia kwenye ufunguzi.
  Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, wakati akiwahutubia kwenye ufunguzi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti matunda aina ya Shokishoki, kwa kumbukumbu baada ya kufungua rasmi  Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa  Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Professa wa Chuo cha Sokoine, Ally Aboud, kuhusu ufugaji wa njia raihisi na gharama nafuu wa Samaki baada ya kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa  Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya washiriki wa kongamano la kimataifa kuhusu mitaal kwa vyuo vya kiislamu.

Related

OTHER NEWS 7795151344733624481

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item