MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA MAZISHI YA JAJI LEWIS MAKAME KIJIJINI KWAKE HUKO TONGWE - MUHEZA
Mama Salma Kikwete akimfarijiMama Mary Mbaga Makame, mke wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe,...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/08/mama-salma-kikwete-aongoza-shughuli-ya.html
Mama
Salma Kikwete akimfarijiMama Mary Mbaga Makame, mke wa Marehemu Jaji
Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani
Muheza kwa ajili ya mazishi leo
Mama
Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mke wa Marehemu Jaji
Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani
Muheza kwa ajili ya mazishi.
Mama Salma Kikwete akiaga mwili wa Marehemu Jaji Lewis Makame kijijini kwake huko Tongwe, wilayani Muheza
Mama
Salma Kikwete akimpa pole Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian
Lubuva muda mfupi kabla ya kuanza ibada ya mazishi ya Marehemu Jaji
Lewis Makame iliyofanyika katika Kanisa Anglikana la Mtakatifu Yusuf
huko Tongwe, wilayani Muheza.
Mama
Salma Kikwete akifuatana na Mama Mary Makame, mjane wa Marehemu Jaji
Lewis Makame kuelekea kwenye ibada ya mazishi iliyofanyika katika kanisa
Anglikana Tongwe huko Wilayani Muheza
Mama
Salma Kikwete akifuatana na Mama Mary Makame na Naibu Waziri wa Katiba
na Sheria Mheshimiwa Angela Kairuki (kwa kwanza kulia) wakielekea
kanisani.
Mama
Salma Kikwete akiongozana na Mama Mary Makame wakiingia katika kanisa
Anglikana huko Tongwe kwa ajili ya ibada ya mazishi ya marehemu Jaji
Lewis Makame.
Mwili wa Marehemu Jaji Lewis Makame ukiingizwa kanisani kwa ajili ya ibada.
Sehemu ya waumini
na watu mbalimbali waliohudhuria ibada ya mazishi ya Marehemu Jaji
Lewis Makame huko kijijini kwake Tongwe wilayani Muheza.
Mama
Salma nKikwete akitoa neno la faraja kwa wafiwa mwishoni mwa ibada ya
kumuombea marehemu Jaji Lewis Makame iliyofanyika katika kanisa
Angilkana Tongwe huko Muheza.
Mama Salma Kikwete akiongoza mamia ya waombolezaji kwenda makaburini kwa ajili ya mazishi.
Jaji
Mkuu Mheshimiwa Chande Othman alikuwa ni miongoni mwa majaji wa
Mahakama Kuu na Rufaa waliobeba mwili wa Marehemu Jaji Lewis Makame
kuupeleka kwenye nyumba yake ya milele huko kijijini kwake Tongwe katika
wilaya ya Muheza.
Askofu
wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Tanga Dr. Williama Mndolwa akiwaongoza
maaskofu, makasisi na mashemasi kuweka udongo kwenye kaburi la Marehemu
Jaji Lewis Makame.
Mama Salma Kikwete akimsindikiza Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary Makame kuweka udongo kwenye kaburi
Mama Salma Kikwete akiwa na Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary Makame
Mjane
wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary akiweka shada la maua kwenye
kaburi la mume wake Marehemu Jaji Lewis Makame wakati nwa ibada ya
mazishi iliyofanyika huko Tongwe katika wilaya ya Muheza
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa msaidizi
wake tayari kuliweka kwenye kaburi la marehemu Jaji Lewis Makame
aliyezikwa kijijini kwake huko Tongwe.
Mama
Salma Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la hayati Jaji Lewis
Makame wakati wa mazishi yaliyofanyika katika kijiji cha Tongwe katika
wilaya ya Muheza, mkoani Tanga tarehe 23.8.2014.
PICHA NA JOHN LUKUWI