PICHA: CONRAD ALIYEMUUA AYOUB MLAY KWA BASTOLA AMBROSIA CLUB ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU

  Mtuhumiwa  wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akiwa chini ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuachiwa na kukamatwa tena katika mahakam...

 Mtuhumiwa  wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akiwa chini ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuachiwa na kukamatwa tena katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana.Mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kumuua kwa kutumia silaha Ayubu Mlay
 Mtuhumiwa  wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33) akiwa ndani ya gari ya polisi akipelekwa Mahabusu baada ya kuachiwa na kukamatwa tena katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam . Mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kumuua kwa kutumia silaha Ayubu Mlay.
 Mtuhumiwa  wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akizibitiwa na Polisi


Related

OTHER NEWS 2146001255946168908

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item