TAARIFA YA KIFO KUTOKA YANGA SC

Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Dereva wa Basi Kubwa la Wachezaji (Yutong) Bw Maulid Kiula...

Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Dereva wa Basi Kubwa la Wachezaji (Yutong) Bw Maulid Kiula kilichotokea alfajiri ya leo Ilala jijini Dar es salaam.

Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu mtaa wa Chunya karibu na Bungoni Ilala jijini Dar es salaam.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi Amen.

Related

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA TAMASHA LA PASAKA LILILOFANYIKA UWANJA WA TAIFA

 Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka lililofanyika jana kwenye uwanja wa Taifa aki...

Moto wa wateketeza maduka matatu na mgahawa mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo

 Wakazi wa Mji wa Dodoma wakiangalia maduka hayo huku wengi wao wakiwa hawaamini kilichotokea. Wananchi wa mji wa Dodoma wakiangalia sehemu ya madhara ya tukio la moto uliotokea usik...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904754
item