TBL YAKAGUA UJENZI WA KISIMA CHA MAJI CHA ZAHANATI YA MAKUBURI KILICHOJENGWA KWA MSAADA WAO
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James Ngoit...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/08/tbl-yakagua-ujenzi-wa-kisima-cha-maji.html
Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), na
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James Ngoitanile (wa tatu
kushoto) wakiangalia kisima kipya cha maji kikisafishwa katika Zahanati
ya Makuburi Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Kiwanda hicho Kimejengwa kwa
msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil. 25
Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), na
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James Ngoitanile (kulia)
wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Kampuni ya Drima Drilling
& Civil Works, Rashid Abdallah walipokwenda kukagua maendeleo ya
ujenzi wa kisima
cha maji kikisafishwa katikaZahanati ya Makuburi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Kiwanda hicho Kimejengwa kwa msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil. 25..
cha maji kikisafishwa katikaZahanati ya Makuburi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Kiwanda hicho Kimejengwa kwa msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil. 25..
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu
(kushoto), na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James
Ngoitanile (wa tatu kushoto) wakiangalia kisima kipya cha maji
kikisafishwa katika Zahanati ya Makuburi Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.Kiwanda hicho Kimejengwa kwa msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil. 25.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG