PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiagana na ujumbe kutoka Benki ya Dunia baada ya kuzungumza nao mjini Dodoma  Septemba 11, 2014.   Kutoka...

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiagana na ujumbe kutoka Benki ya Dunia baada ya kuzungumza nao mjini Dodoma  Septemba 11, 2014.   Kutoka  kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati, Albert Zeufack na  Jan  Wallliser. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na   Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu  wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu  wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya mazungumzo rasmi kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania ,Uganda na Burundi Phillipe Dongier  na wapili kulia ni meneja wa mpango wa kuondoa umaskini na masuala ya uchumi Barani Afrika wa Benki hiyo, Albert Zeufack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related

TUJUZANE 9135181311325840694

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item