DICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA

   Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utaonza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji w...

  Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utaonza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji wa Durham jimbo la North Carolina mkutano utamalizika siku ya Jumapili Oct 5, 2014 kwenye picha kushoto ni mpiga picha za kiwango na maarufu kutoka DMV Bi Iska Jojo na makamu wa rais DMV Bi, Harriet Shangarai wakielekea vyumbani baada ya kuwasili kwenye hotel ya Millennium muda si mrefu na kukutana na ukodak wa Vijimambo ambao utakuwepo kwenye mkutano huo kuwakilisha.

 Msanii wa vichekesho kutoka kundi la Zecomedy Masanja mkandamizaji akicheza na simu yake kutupia mawili matatu kwenye mitandao ya kijamii akiwa nae tayari kuwakilisha kwa mara ya kwanza katika historia ya DICOTA ndani ya Durham, North Carolina.
 Maafisa wa DICOTA wakihakiki usajili wa wadau waliofika mapema leo siku ya Alhamisi Oct 2, 2014 tayari kwa DICOTA 2014 Convetion.
  Wadau wakifuatilia usajili wao kuhakikisha kila kitu kipo sawa wadau wawili kushoto ni Suleiman Zanangwa na Focus wawakilishi wa Tanzania Ports Authority.

Wawakilishi toka Global Land Solutions toka Tanzania wakipata picha ya kumbukumbu kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo kwa picha zaidi bofya HAPA

Related

HOTUBA YA MH ZITTO KABWE (MBUNGE KIGOMA KASKAZINI) ILIYOTOLEWA LEO MACHI 15, 2015

Mhe. Zitto Kabwe akitoa  Ahsante kwa wananchi wa jimboni kwake kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.   Mwanamapinduzi na Rais wa zamani wa Burkina Faso Thomas Sankara ali...

GHANA 3-0 EQUATORIAL AFCON 2015: GHANA KUCHEZA NA IVORY COAST FINAL JUMAPILI

 wachezaji wa Ghana  wakishangilia ushindi na kutinga fainali baada ya kuwakunja wenyewe Equatorial Guinea 3-0  kwaiyo sasa  Ghana kukutana na Ivory Coast tarehe 8 kwenye fa...

NIGERIA KUMCHAGUA RAIS JUMAMOSI

Nigeria inatarajiwa kufanya uchaguzi wa Rais Jumamosi ijayo. Uamuzi uliotolewa kushinikiza uchaguzi huo kufanyika ulichukuliwa baada ya mkutano uliodumu kwa saa saba, katika mji mkuu wa nchi...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904827
item