WAREMBO MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI

  Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vi...

 Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo waliweza kujionea wanyama wa aina mbalimbali wakiwepo, Tembo, Twiga, Swala, Viboko na Simba.
 Kaimu Mhifadhi Utalii wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Apaikunda Mungure akigawa vipeperushi kwa warembo.


 Warembo walibahatika kuwaona Simba zaidi ya Saba wakiwamepumzika chini ya mti.

  Warembo wa Redd’s Miss Tanzania wakiongozwa na Matron wao, Gladness Chuwa mbugani Mikumi.


 Warembo wakipiga picha na watalii waliowakuta Mikumi.


 Wakisikiliza maelezo juu ya Viboko kutoka kwa Benina Mwananzila.



 Muongoza watalii Ibrahim Kassim akitoa maelezo kwa washiriki wa shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014.


Warembo wakitembelea lodge ya Hifadhi hiyo ya Mikumi.

Related

AJALI MBAYA YA ROLI LA VINYWAJI MKOANI RUVUMA

 Ajali hii imetokea  lililopita maeneo ya Msamala katika manispaa ya Songea...kwa mujibu wa taarifa hakuna mtu aliyefariki zaidi ya kupata majeraha madogo madogo. Chanzo cha ajali hak...

FILIPPO IZAGHI NDIYE KOCHA MPYA WA AC MILLAN

Filipo Inzaghi ameteuliwa kocha mpya wa AC Milan na kuchukua pahala pa Clarence Seedof  AC Milan imemfuta kazi mkufunzi wake Clarence Seedof baada ya kuhudumu kwa chini ya miezi 5 na kum...

WANAWAKE 20, WANAUME 3 WATEKWA NIGERIA

Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram wamewateka nyara wanawake 20 kutoka jamii inayohamahama Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Wanawake hao walichukuliwa katika Makazi ya Gaki...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904754
item