KINANA AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO IRINGA

  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia huku mkono wake ukiwa umefungwa POP, katika mkutano wa hadhara katika viwan...

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia huku mkono wake ukiwa umefungwa POP, katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa jana kuhitimisha ziara  ya siku sita mkoani Iringa ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano na wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa leo  wa kuhitimisha ziara ya siku sita mkoani Iringa ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

  Wananchi wakicheza kwa furaha wakati kikundi cha Bendi ya CCM, kikitumbuiza kwa wimbo wa Ilani ya Chama wakati wa mkutano huo.

   kikundi cha Bendi ya CCM, kikitumbuiza kwa wimbo wa Ilani ya Chama wakati wa mkutano huo.


  Nape akifarijiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Amina Imbo wakati wa mkutano huo

 Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga, akihutubia katika mkutano wa hadhara na kuelezea mipango ya chama hicho kulikomboa jimbo la Iringa linaongozwa sasa na Chadema.

  Nape akishuka jukwaani baada ya kuhutubia katika viwanja vya Mwembetogwa, Iringa Mjini

 Aliyewahi kuwa mgombea ubunge Jimbo la Kalenga wa Chadema kura za maoni, Sanga Abubakar akitangaza kuihama Chadema na kujiunga na CCM wakati wa mkutano huo.

  Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Mdillah Sekomu akitangaza kuachana na Chadema na kujiunga na CCM

  Msemaji wa Bodaboda, Adam Kindole Mkoa wa Iringa,  akielezea jinsi wanavyonufaika na CCM kwa biashara yao ya kubeba abiria mjini

 Waendesha  Bodaboda wakishangilia risala iliyotolewa na Msemaji wa chama hicho cha waendesha pikipiki

  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akihutubia katika mkutano huo

  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha CCM, Daniel Chingolo akimuaga Kinana Uwanja wa Nduli akirejea Dar es Salaam.

  Kinana akiagana na viongozi wa CCM uwanjani hapo

  Kinana akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiingia kwenye ndege, tayari kwenda Arusha na hatimaye DSM

  Kinana akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu

  Ndege iliyombeba katibu mkuu.

Viongozi wa chama na Serikali wakipungia mkono wakati ndege iliyombeba Kinana ikipaa.

Related

OTHER NEWS 8434829274388906940

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item