MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA RASMI UKUMBI WA MIKUTANO WA MWADHAMA LAUREAN KADINALI RUGAMBWA

  Muonekano wa nje wa  ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M...

 Muonekano wa nje wa ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashamu Askofu Tarcius Ngalekumtwa, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya makabidhiano ya ukumbi huo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mwadhama Polycap Kadinali Pengo kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini                        Dar es salaam
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua pazia kuzindua rasm ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam

Related

OTHER NEWS 3760521740545528217

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item