PROFESA ALIYEPIGWA RISASI AZIKWA JIJINI DAR ES SALAAM

  Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Rwekaza Mukandala (wa pili kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe (wa tatu kushoto)...

 Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Rwekaza Mukandala (wa pili kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe (wa tatu kushoto) msibani kwa Profesa Athuman.


Mwili wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Athuman Livigha ukiwasili nyumbani kwake Bunju jijini Dar jana tarehe 02/10/2014

 Mwili wa Profesa Athuman ukiingizwa nyumbani kwake Bunju, Dar.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu.


Mwili wa marehemu ukiombewa kabla ya maziko.

Mwili wa Profesa Athuman Livigha ukipelekwa makaburini kwa maziko.

Mwili wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Athuman Livigha, aliyefariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi nyumbani kwake, Bunju jijini Dar es Salaam umezikwa jana tarehe 02/10/2014.
Marehemu aliuawa Septemba 30, mwaka huu majira ya saa 3 usiku akiwa nyumbani kwake. (PICHA: MAKONGORO OGING' NA HARUNI SANCHAWA / GPL)

Related

SEHEMU YA UBUNGO MATAA KUFUNGWA KUPISHA UJENZI WA BARABARA

  KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag  inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) imetangaza mabadiliko ya muda katika eneo la Ubungo jijini Dar es salaam kuanzia kesho na...

MH. LOWASSA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA DODOMA

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza na sheikh mkuu mkoa wa Dodoma, sheikh Adam Zubeir wakati alipokwenda kumjulia hali,  nyumbani kwake Kikuyu Flats. ...

MTOTO ACHOMWA MOTO KISA SH. 500.

Mtoto Fatuma Hassan (9) anyedaiwa kufungiwa ndani kwa siku tatu kisha kuchomwa moto mikononi na mama yake mkubwa aliyetajwa kwa jina moja la Diana (38), mkazi wa maeneo ya Tandale.  Mam...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

905033

HOT POSTSRECENTArchive

RECENT

Archive

item