SEKRETARIETI YA AJIRA: NAFASI ZA KAZI KUTOKA KWA WAKALA WA VIPIMO TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA  UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/H/04            ...

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA  UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/H/04                                                                                    01 Oktoba, 2014


Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya  mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea  katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa  Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 87 za kazi kwa ajili ya wakala wa vipimo kama zilivyorodheshwa katika tangazo hili.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Related

KAZI 701917708716918177

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item