RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM ZANZIBAR

 Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt Jakaya Kikwete akipokelewa na  Katibu Mkuu wa CCM,Ndg.Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwasili katika uk...

 Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt Jakaya Kikwete akipokelewa na  Katibu Mkuu wa CCM,Ndg.Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar kabla ya kuanza kwa kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM,kilichofanyika  mjini Zanzibar.

 Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu katibu Mkuu CCM-Zanzibar Ndg.Vuai Ali Vuai alipokuwa akiwasili katika kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM,kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar.
 
 Makamu wa Rais,Dkt.Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na Naibu katibu Mkuu CCM-Zanzibar Ndg.Vuai Ali Vuai alipokuwa akiwasili katika kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM,kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar.

  Katibu Mkuu wa CCM,Ndg.Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM,Dkt.Ali Mohamed Shein nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar.

 Baadhi ya Wanahabari wakiwa nje ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar.



 Pichani kati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt Jakaya Kikwete,akiwaongoza wajumbe (hawapo pichani) wa Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ndani ya ukumbi ya Afisi ya CCM makao Makuu Kisiwandui mjini Zanzibar,Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na shoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Dkt.Ali Mohamed Shein.

  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwakaribisha Wajumbe wa kikao cha kawaida cha kamati Kuu ya CCM,ndani ya ukumbi ya Afisi ya CCM makao Makuu Kisiwandui mjini Zanzibar.

Wajumbe wa Kikao cha Kawaida cha Kamati Kuu ya CCM,wakiwa katika ukumbi wa Afisi ya CCM makao Makuu Kisiwandui mjini Zanzibar,tayari kwa kuanza kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais Dkt Jakaya Kikwete.

Related

TASWIRA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM HUKO TARIME MKOANI MARA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kama ishara ya kufungua ofisi ya CCM Tawi la Nyabichune,wilaya ya Tarime mkoani Mara. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana ...

Rais wa Zanzibar, Dk Shein afungua jengo jipya la ZAPHA+

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya kulizindua jengo jipya la Jumuiya Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi ZAPHA+ huko Welezo jana,(k...

YANGA YAKUBALI KIPIGO CHA MABAO 3-2 KUTOKA KWA AZAM

Mshambuliaji wa Yanga Didie Kavumbago akipimana msuli na mliniz wa Azam FC Kipre Balou katika mchezo huo. Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza akichuana na mlinzi wa Azam FC, Waziri Salam wakati w...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904853
item