DIONIZ MALINZI "EKIKAKA" ASIMIKWA UKAMANDA WA VIJANA MKOA WA KAGERA

  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimkabidhi mkuki   Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi wakati wa ...

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimkabidhi mkuki   Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi wakati wa kumsimika kwenye uwanja wa Uhuru Platform maarufu kama uwanja wa Mayunga.

 Boda Boda  wakiongoza msafara wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuelekea katika Uwanja wa Mayunga Uhuru Platform tayari kwa kumsimika Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kulia) akiwasili uwanjani na gari ya wazi pamoja na Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa Nape Nnauye akivishwa skafu mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru Platform tayari kwa shughuli ya kumsimika Kamanda wa Vijana wa CCM mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Uhuru ambapo shughuli za kumsimika Dioniz Malinzi kuwa kamanda wa vijana wa mkoa wa Kagera.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akimtuza mtoto Amina Mbaraka Chilusadi aliyekuwa akicheza pamoja na Saida Karoli.

 Saida Karoli akitumbuiza wakati wa sherehe hizo za usimikwaji wa kamanda wa vijana Dioniz Malinzi kwenye uwanja wa Uhuru,Mayunga Bukoba mjini.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Bukoba mjini kwenye uwanja wa Uhuru Platform kwenye sherehe za usimikwaji wa Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimvisha joho Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi .



Related

OTHER NEWS 5532501263242198038

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item