BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI(NACTE) LINAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA UALIMU 2015/2016
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo ...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2015/03/baraza-la-taifa-la-elimu-ya-ufundinacte.html
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus
Nkwela (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye
Makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni B jijini Dar es Salaam, Wakati
akiutangazia Umma juu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya
Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza kidato cha
Nne Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali kama zinavyopatikana
kwenye tovuti ya baraza hilo: www.necte.go.tz.Waombaji; watakao omba kabla
ya tarehe 10 Aprili 2015 wataruhusiwa kujiunga na mafunzo mnamo Aprili
15 2015 kwenye vyuo mbali mbali kama vinavyopatikana kwenye tovuti
yao.Kulia ni Katibu msaidizi wa Baraza hilo Ramadhani Samainda.
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus
Nkwela (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari pichani katika
Makao makuu ya ofisi hizo zilizopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam,
wakati akiutangazia Umma juu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na
mafunzo ya Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza
kidato cha Nne Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali kama
zinavyopatikana kwenye tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji;
watakao omba kabla ya tarehe 10 Aprili 2015 wataruhusiwa kujiunga na
mafunzo mnamo Aprili 15 2015 kwenye vyuo mbalimbali kama vinavyopatikana
kwenye tovuti yao.