MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa  Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Mara...

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa  Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na  Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe  15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.

 Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali  yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika  (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.

 Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali  yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika  (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.

 Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaozungumzia uwezeshaji kwa  wanawake na Maendeleo katika Bara hili.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Idara ya  Afya katika Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Dr. Sarah Maongezi  wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano.

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano huku  akifuatana na Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Inkoskati Lamagongo  (katikati) na kushoto ni Msaidizi wa Mke wa Mfalme.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijiandaa kutoa hotuba yake ya mwisho  kwenye Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika unaofanyika  huko Johannesburg Afrika Kusini.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao  cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye  Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao  cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye  Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye Ukumbi  wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini 

Related

YANGA YAKUBALI KIPIGO CHA MABAO 3-2 KUTOKA KWA AZAM

Mshambuliaji wa Yanga Didie Kavumbago akipimana msuli na mliniz wa Azam FC Kipre Balou katika mchezo huo. Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza akichuana na mlinzi wa Azam FC, Waziri Salam wakati w...

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE KWA MAFANIKIO BARIADI, ASEMA WAPINZANI WAJIPANGE 2015

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kubeba matofali kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya balozi Joyce Safari  wa shina namba 12 tawi la Isenge kata ya Dutwa. Katibu Mkuu...

KWA RIPOTI HII UWEZEKANO WA KINA MASOGANGE KUACHIWA HURU NI MKUBWA

WATANZANIA wawili, Agnes Gerald (Masogange) na mwenzake Melissa Edward waliokamatwa nchini Afrika Kusini kwa madai ya kusafirisha kilo 150 za dawa za kulevya wanayo nafasi kubwa ya kua...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904812
item