BODI YA MIKOPO YATOA MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA NA DIPLOMA WALIOKOSEA KUJAZA FOMU ZA MIKOPO 2016/2017

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza majina ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/2017 , waliokosea kujaza form za mikopo kwa ku...

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza majina ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/2017, waliokosea kujaza form za mikopo kwa kutokuweka vitu muhimu kama  sahihi za muombaji na sahihi za wadhamini wao. Kwa sababu hiyo kundi la hawa watu wanatakiwa kufika moja kwa moja ofisi ya bodi ya mikopo kuweka sahihi hizo.

Ofisi za bodi ya mikopo zipo Plot No. 8, Block No. 46 Sam Nujoma Road, Mwenge, Dar es Salaam.

Wote mliokosea mnatakiwa kufika katika ofisi za bodi ya mikopo kuanzia tarehe 3 jumatatu asubuhi kwa ajili ya kuviweka.

Lakini wale wote ambao hakuweka picha, vyeti, picha za wadhamini ,vyeti ambavyo havijakikiwa na mahakama wanatakiwa kutuma vitu hivyo  kwa anwani ya EMS kwenye anwani ifuatayo; 
The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
P. O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.


Pia bodi inawahasa wanafunzi kuwa kusahihisha information za mikopo sio gurantee kwamba ndio utapata mkopo.

pia kama hautasahihisha information zako,itaendelea kuwa hivyo hadi utakapoamua kusahihisha. 
 

  MWAISHO WA KUREKEBISHA NI TAREHE 7/10/2016

Related

ELIMU 7602133019663880765

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item