JANUARY MAKAMBA ALIPOWAPIGA MSASA WANA-CCM MKOA WA VYUO DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa makada wa vyuo vikuu mkoa wa vyuo wilaya ya Dar es salaam, Ndugu Asenga Abubakar, akifungua kongamano maalum la makada, wapen...

MWENYEKITI wa makada wa vyuo vikuu mkoa wa vyuo wilaya ya Dar es salaam, Ndugu Asenga Abubakar, akifungua kongamano maalum la makada, wapenzi na wa mashabiki wote wa CCM ambao wapo vyuoni, lilofanyika leo Karimjee Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mahafali ya kuwaaga wanachama wenzao wanaomaliza vyuo mwaka huu wa 2013 mkoa wa Dar es salaam. Kishoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Vyuo Dar es Salaam, Daniel Zenda.

  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Januari Makamba akizungumza kwenye kongamano hilo.


 Wajumbe waakiwa kwenye kongamano hilo leo (Picha zote na BASHIR NKOROMO

Source: CCM social media

Related

MAANDALIZI YA UJIO WA OBAMA YAKIWA YAMEKAMILIKA, TAYARI KWA MAPOKEZI IKULU JIONEE KATIKA PICHA

KINA MAMA WAMEJAA NA FURAHA KWELIKWELIBARACK OBAMA ROAD KUZINDULIWA RASMI ZULIA JEKUNDU TAYARI KWA UJIOPICHA KWA HISANI YA FATHER KIDEVU

CUF WAJIPANGA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA JWTZ, POLICE

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kinawasilisha na mawakili wake na asasi za haki za binadamu kujua hatua za kisheria kuchukua dhidi ya  askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa mada...

BARABARA ZITAKATOFUNGWA SIKU YA JUMANNE KUPISHA MSAFARA WA OBAMA NI HIZI

Sam Nujoma RoadSiku ya jumanne tarehe 02/07/2013 barabara zifuatazo hazitakuwa hewani (zitafungwa) kwa muda wa masaa 2 kuanzia saa 3.00 asubuhi:ALI HASSAN MWINYISAM NUJOMAMOROGORO

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item