MWANARIADHA WA JAMAICA VERONICA CAMPBELL-BROWN AFUNGIWA

Mwanariadha kutoka nchini Jamaica ambaye aliwahi kushinda mbio za mita 200 mara mbili, Veronica Campbell-Brown (31) amefungiwa miaka 2...



Mwanariadha kutoka nchini Jamaica ambaye aliwahi kushinda mbio za mita 200 mara mbili, Veronica Campbell-Brown (31) amefungiwa miaka 2 ushiriki wake kwenye riadha na shirika la riadha la nchini humo baada ya kugundulika kutumia dawa za kututumua misuli.Kamati ya nidhamu ya shirikisho hilo inatarajiwa kukutana na kutolea maamuzi swala hilo.

Related

OTHER NEWS 5724512752275698408

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item