STEREO BAR KINONDONI ILIVYOTEKETEA KWA MOTO JIONI YA TAREHE 06/06/2013

Bar maarufu Kinondoni iitwayo 'STEREO' imateketea kwa moto mkubwa sana jioni ya leo. Moto huo unadhaniwa ulitokana hitilafu ya umem...







Bar maarufu Kinondoni iitwayo 'STEREO' imateketea kwa moto mkubwa sana jioni ya leo. Moto huo unadhaniwa ulitokana hitilafu ya umeme katika bar hiyo. Pamoja na bar hiyo kuteketea pia nyumba tatu  lilizokuwa jirani na bar hiyo pia zimeathirika na mali nyingi kuharibika.

SOURCE: Jestina George

Related

OTHER NEWS 2894628139081073926

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item