HUYU NDIE MWANAMKE ALIYEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA JNIA

Huyu ndiye mwanamke aliyekamatwa na kete za madawa ya kulevya akiwa chini ya ulinzi.  Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio zima la...

Huyu ndiye mwanamke aliyekamatwa na kete za madawa ya kulevya akiwa chini ya ulinzi.
 Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio zima la kunaswa kwa mtuhumiwa wa madawa ya kulevya raia wa Nigeria ambapo anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi wakati kete hizo zimepelekwa kwa ofisi ya Mkemia Mkuu kwa uchunguzi zaidi.

Anthonia Ojo akiwasili kituo cha polisi cha JNIA baada ya kukamatwa
Anthonia Ojo akielekea kupanda gari kuelekea kituo cha polisi

Anthonia Ojo akiwa chini ya ulinzi.

Hati yake ya kusafiria

Begi lilibebewa madawa

Juu na chini ni Anthonia Ojo akitoa madawa alikokua amyaficha kwenye mikebe ya poda na shampuu


Kete alizokamata nazo

Madawa yakirudishwa kwenye mikebe baada ya kuonyeshwa kwa wanahabari.

Recodi ya Anthonia Ojo aliwahi kuja tena Tanzania mwaka 2011

Related

OTHER NEWS 930562143630538383

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item