PRO. BAREGU AKANUSHA KUJIUZULU NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHADEMA

Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya Katiba kutoka chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) Prof. Mwesiga Baregu amekanusha taarifa za kuj...


Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya Katiba kutoka chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) Prof. Mwesiga Baregu amekanusha taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, amesema hana mpango wa kufanya hivyo.

Related

SITTA ALIPOCHUKUA FOMU KUWANIA UENYEKITI BUNGE LA KATIBA

 Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega Hamisi...

CHADEMA YATANGAZA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtangaza Mathayo Torongey, kugombea ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Chalinze mkoani  Pwani. Mchakato huo ulihusisha wagombea wanne wa...

RATIBA YA VPL YABADILIKA, LIGI KUMALIZIKA APRIL 19

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeifanyia marekebisho ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) ambapo sasa itamalizika Aprili 19 mwaka huu badala ya Aprili 27 mwaka huu. Marekebisho hayo yamef...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904739
item