RAGE AWEKWA BENCHI SIMBA SPORTS CLUB

Kamati Tendaji ya Simba FC leo imemsimamisha kazi mwenyekiti wake, Ismail Aden Rage ikimshutumu kukosa uadilifu, kukiuka maadili ya klabu...

Kamati Tendaji ya Simba FC leo imemsimamisha kazi mwenyekiti wake, Ismail Aden Rage ikimshutumu kukosa uadilifu, kukiuka maadili ya klabu. Wakati huo huo makocha Abdallah Kibadeni na Jamhuri Kihwelu pia wamewekwa kando na kamati tendaji hiyo leo; kazi yao amepewa kocha toka Croatia.

Related

OTHER NEWS 8536851534790137653

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item