UHARIBIFU UWANJA WA TAIFA: SIMBA YALIPISHWA FAINI

Bodi ya Soka imeiadhibu timu ya Simba Sports Club kwa kuiandikia faini ya shilingi 500,000 baada ya mashabiki wake kuvunja viti vya uwanj...

Bodi ya Soka imeiadhibu timu ya Simba Sports Club kwa kuiandikia faini ya shilingi 500,000 baada ya mashabiki wake kuvunja viti vya uwanja wa Taifa siku kadhaa zilizopita, aidha Mbeya City nao nao wamepata adhabu hiyo kwa kutakiwa kulipa faini ya sh 1 mil kwa mashabiki kufanya vurugu.

Related

OTHER NEWS 2059109053803436994

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item