MKUTANO WA CHADEMA KASULU WAINGIWA NA DOSARI

Mkutano wa Dr Slaa Kasulu uliofanyika leo mjini Kasulu uliingiwa na dosari na kusababusha kuvunjika baada ya vijana wapatao 15 kurusha ma...

Mkutano wa Dr Slaa Kasulu uliofanyika leo mjini Kasulu uliingiwa na dosari na kusababusha kuvunjika baada ya vijana wapatao 15 kurusha mawe na kufanya vurugu,pPolisi walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya.

Related

OTHER NEWS 6075409810536064220

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item