BOHARI LA DAWA LATEKETEA KWA MOTO

Bohari la dawa za binadamu lililopo eneo la vingunguti jirani na kituo cha mafuta cha Victoria limewaka moto jioni ya leo. Zimamot...




Bohari la dawa za binadamu lililopo eneo la vingunguti jirani na kituo cha mafuta cha Victoria limewaka moto jioni ya leo. Zimamoto na askari polisi wamekuwepo eneo la tukio kukabiliana na moto huo. Hakuna mtu aliyeripotiwa kupoteza maisha kutokana na moto huo.

Related

HII NDIO RATIBA KAMILI YA SHUGHULI ZA MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DKT. WILLIAM MGIMWA KUANZIA JUMAMOSI HADI JUMATATU

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa unatarajiwa kuwasili kesho nchini saa 7 kutokea Afrika Kusini. Kufuatia ratiba iliyotolewa na ofisi ya Waziri Mkuu, mwili huo utapokelewa uwan...

AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO, AOMBA MSAADA KWA WASAMALIA WEMA

 Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne  mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwa...

BREAKING NEWS!!!!!!! MOTO WATEKETEZA JENGO LA JANCO MOTEL JIJINI MBEYA USIKU HUU

Moto mkali umezuka katika jengo la Janco Motel lililopo Forest Mpya, Mbeya usiku huu. Hadi sasa Zimamoto hawajafanikiwa kuudhibiti, jengo linateketea. Habari zaidi zitafuata.

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904746
item