MBUNGE WA CHALINZE SAIDI RAMADHANI BWAMDOGO AFARIKI DUNIA

Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungana wa Tanzania Mh. Anne S. Makinda (Mb),  anasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Mbunge wa jimbo la Ch...

Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungana wa Tanzania Mh. Anne S. Makinda (Mb),  anasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Saidi Ramadhani Bwamdogo kilichotokea leo jumatano asubuhi tarehe 22/01/2014 katika hospitali ya MOI DSM alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia ya marehemu.
SPIKA WA BUNGE,
22-01-2014

Related

OTHER NEWS 5998700523599341447

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item