HII NDIO RATIBA KAMILI YA SHUGHULI ZA MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DKT. WILLIAM MGIMWA KUANZIA JUMAMOSI HADI JUMATATU

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa unatarajiwa kuwasili kesho nchini saa 7 kutokea Afrika Kusini. Kufuatia ratiba ili...

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa unatarajiwa kuwasili kesho nchini saa 7 kutokea Afrika Kusini. Kufuatia ratiba iliyotolewa na ofisi ya Waziri Mkuu, mwili huo utapokelewa uwanja wa ndege MWALIMU NYERERE-TERMINAL II na kupelekwa nyumbani kwake Mikocheni B.

Kuona ratiba kamili ya mazishi bofya hapa

Related

OTHER NEWS 692588145972729897

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item