TAARIFA MAALUM KUTOKA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA.

Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwakumbusha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT)   ...

Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwakumbusha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT)  mwezi Novemba,  2014  kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kilichoanza rasmi tarehe 1 Januari, 2014 kwa ada ya Shilingi 50,000/=kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT  kitaishia tarehe 28 Februari, 2014.
Waombaji wote wanasisitizwa kuhakikisha wanajisajili mapema kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Baraza la Mitihani ya www.necta.go.tz. Kabla ya kujisajili kwenye mtandao, waombaji wanapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani kuchukua namba rejea (reference number) zinazotolewa bure na kulipa ada ya mtihani kwa njia ya Posta au Mpesa.

Imetolewa na:
KAIMU KATIBU MTENDAJI
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA.

Related

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWAKA WA MASOMO 2014/2015 MAELEKEZO: Waombaji waliochaguliwa k...

UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2014 - AWAMU YA PILI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA  SERIKALI ZA MITAA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO 2014  AWAMU YA PILI Ofisi ya Waziri Mkuu Tawal...

MWL NYERERE MEMORIAL SCHOLARSHIP

MWALIMU JULIUS K. NYERERE MEMORIAL SCHOLARSHIP FUND SCHOLARSHIP ANNOUNCEMENT Deadline 29th August, 2014 (Masters) and 12th September, 2014 (Undergraduate) With effect from the 2013/14 acad...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904758
item