ALICHOANDIKA JOYCE KIRIA KWA FACEBOOK PAGE YAKE BAADA YA BAADHI YA WASANII WA BONGO MOVIE KUJIUNGA NA CCM

 Hawa ni baadhi ya  wasanii walioshiriki sherehe za miaka 37 CCM mkoani mbeya jana, na kuamua kujiunga na chama tawala cha CCM. Bi Joyce ...

 Hawa ni baadhi ya  wasanii walioshiriki sherehe za miaka 37 CCM mkoani mbeya jana, na kuamua kujiunga na chama tawala cha CCM. Bi Joyce Kiria akaamua kuandika maoni yake kuhusu tukio hilo la wasanii kujiunga na CCM na kuweka kwenye ukurasa wake wa Facebook kama inavyoonekana hapo chini. Swali, Je kuna ubaya wa wasanii kujiunga na chama chochote wanachokipenda, maoni yako kimya kimya rohoni.


Related

OTHER NEWS 2496748218840693651

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item