MBEYA CITY YAAMBULIA PATUPU KWA YANGA, YAFUNGWA 1 - 0

TIMU ya Mbeya City leo imepokea kipigo cha kwanza katika Ligi Kuu ya Bara baada ya kulala kwa bao 1-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo ul...

TIMU ya Mbeya City leo imepokea kipigo cha kwanza katika Ligi Kuu ya Bara baada ya kulala kwa bao 1-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Bao pekee la Yanga limewekwa kimiani na Mrisho Ngassa katika dakika ya 16 ya mchezo.

Wakati huohuo timu ya Azam nayo imeifunga Kagera Sugar mabao 4 - 0 kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Azam Complex.

Related

OTHER NEWS 7373671699945914406

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item