ASKARI POLISI 5 WAFARIKI DUNIA DODOMA, SOMA MAJINA YAO HAPA

Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea Jana usiku majira ya saa nane ambapo gari ya ya polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe y...

Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea Jana usiku majira ya saa nane ambapo gari ya ya polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe ya polisi iliyokuwa inafanyika katika ukumbi wa mipango.

Gari hiyo iliyokuwa imebeba polisi na ilikuwa inaelekea kongwa imegongana na basi ya Mohamed Trans eneo la Mtumba nje kidogo ya mji wa Dodoma. Waliofariki katika ajali hiyo ni Adolf Silla, Deogratius Mahinyila, Evarist Bukombe, Jackline Tesha na Jema Luvinga, chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa basi RPC Misime amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Related

OTHER NEWS 4718029613833489184

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item