MUUAJI WA TARIME AFARIKI DUNIA

KAMANDA WA POLISI MKOANI MARA - JUSTUS KAMUGISHA  TARIME MTUHUMIWA wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mko...

KAMANDA WA POLISI MKOANI MARA - JUSTUS KAMUGISHA


 TARIME
MTUHUMIWA wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akihojiwa Polisi kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili, amefariki dunia katika Hospitali ya Wilaya wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa pumu. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Justus Kamugisha, alisema kuwa mtuhumiwa huyo jina lake halisi ni Charles Kichune (38) na alifariki usiku wa kuamkia jana wakati akitibiwa ugonjwa huo hospitalini.

Related

OTHER NEWS 6257088181186062614

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item