MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ULIOFANYIKA 09/02/2014 KATIKA KATA MBALIMBALI NCHINI, CCM YASHINDA KWA KISHINDO KATA 23, CHADEMA WAAMBULIA KATA 3 NA NCCR YAPATA KATA 1
MATOKEO YA JUMLA NDIYO YALIVYOLIPOTIWA KUTOKA VYANZO MBALIMBALI VYA UDIWANI. CCM YAPATA KATA 24 HUKU CHADEMA IKIPATA KATA 3 MATOKEO ...
CCM YAPATA KATA 24 HUKU CHADEMA IKIPATA KATA 3
MATOKEO YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI ARUSHA. CHADEMA KURA 2548
CCM KURA 2077
CUF 33
KATA YA KIBORILONI
CHADEMA KURA 1001
CCM 254.
CCM WANYAKUA VITI VYA UDIWANI MOROGORO