MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN TUPPA MKOANI MOROGORO

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal  akiaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,  kwenye mazishi yaliyofanyika ...

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal  akiaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,  kwenye mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu, Kilosa mkoani Morogoro, leo Machi 29, 2014
Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal  akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,  kwenye mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu, Kilosa mkoani Morogoro, leo Machi 29, 2014


Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal  akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi hayo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,  kwenye mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu, Kilosa mkoani Morogoro, leo Machi 29, 2014
 Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi hayo
 Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole mjane wa marehemu
 Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimfariji  Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji  Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa  katika mazishi yaliyofanyika nyumbanikwa marehemu  Kilosa achi 29, 2014. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related

OTHER NEWS 2424373701221630864

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item