MKUU WA MKOA WA MARA AANGUKA OFISINI

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema, Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh. John Tuppa ameanguka na kutokwa povu akiwa ofisi ya DC Tarime, John He...

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema, Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh. John Tuppa ameanguka na kutokwa povu akiwa ofisi ya DC Tarime, John Henjewele asubuhi hii. Mkuu huyo wa Mkoa amekimbizwa ofisini kwa matibabu zaidi, taarifa zaidi zitawajia baadae.

Related

OTHER NEWS 4827006610644655693

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item