NEWS UPDATE!! MKUU WA MKOA WA MARA AFARIKI DUNIA

 Marehemu John Tuppa Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh. John Tuppa amefariki dunia muda mfupi uliopita baada ya kufikishwa hospitali asubuhi y...

 Marehemu John Tuppa

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh. John Tuppa amefariki dunia muda mfupi uliopita baada ya kufikishwa hospitali asubuhi ya leo baada ya kuanguka ofisini kwa DC huko Tarime. Mkuu huyo wa Mkoa alikuwa kwenye dhiara ya kikazi wilayani Tarime, tunawapa pole familia ya John Tuppa.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Related

OTHER NEWS 4863254637313591872

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item