TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA RATIBA YA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE

Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa jimbo la CHALINZE.   Mtakumbuka kuwa jimbo hilo limekuwa wa...

Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa jimbo la CHALINZE.

 

Mtakumbuka kuwa jimbo hilo limekuwa wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo bwana Said Bwanamdogo kufariki dunia tarehe 22 Januari 2014 kwenye hospitali ya MOI jijini Dar es Salaam.

Ratiba ya uchaguzi kwenye jimbo hilo iko kama ifuatavyo:-


    - Uteuzi wa wagombea - Tarehe 12 Machi 2014 
    - Kampeni na Uchaguzi - Tarehe 13 Machi 2014 
    - Siku ya Uchaguzi - Tarehe 6 April, 2014
Tarehe ya wagombea ubunge kuchukua Fomu za uteuzi kwa msimamizi wa uchaguzi ni kuanzia tarehe 03 Machi, 2014 hadi tarehe 12 Machi, 2014 (siku ya uteuzi) kabla ya saa 10:00 Alasiri.
 
Wagombea wanatakiwa kuwasilisha fomu za uteuzi kwa msimamizi wa uchaguzi siku ya uteuzi si zaidi ya saa 10:00 Alasiri.


Related

WANAWAKE 20, WANAUME 3 WATEKWA NIGERIA

Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram wamewateka nyara wanawake 20 kutoka jamii inayohamahama Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Wanawake hao walichukuliwa katika Makazi ya Gaki...

AJALI KIBAIGWA

 Gari aina ya RAV4 ikiwa chali baada ya Kupata ajali mbaya Maeneo ya Kibaigwa ukiwa uanelekea Mkoani Dodoma  Mh:Mwigulu Nchemba akisaidia kuokoa Majeruhi kwa Kuinua gari.  ...

MAMIA WAJITOKEZA KWENYE MAZISHI YA MSANII MKONGWE WA MAIGIZO NCHINI SAID NGAMBA (MZEE SMALL) YALIYOFANYIKA KATIKA MAKABURI YA SEGEREA DAR ES SALAAM

 Watu mbalimbali wakisubiri Mwili wa Marehemu kuwasili katika makaburi ya Segerea  Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba akiwasilika katika eneo la Makabur...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904812
item