WANANCHI WAJITOKEZA KWENYE ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA HUKO ZANZIBAR

 Wananchi wa maeneo ya Mtoni wakijitikeza katika zoezi la Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa, katika viwanja vya Skuli ya Mto Pepo ...

 Wananchi wa maeneo ya Mtoni wakijitikeza katika zoezi la Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa, katika viwanja vya Skuli ya Mto Pepo Wilaya ya Magharibi Unguja.zoezi hilo linafanyika kwa nchi nzima kuandikishwa Wananchi ili kuweza kupata Vitambulisho hivyo

    Mwananchi akikamilisha taratibu za usajili kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa.
 Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Tanzania akitaja majina ya Wananchi waliokuwa tayari wameshafanyiwa usaili na kufuata hatua nyengine ya upigaji picha.
 Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa akitaja majina ya Wananchi waliokamilisha kujaza fomu na kuchukua hatua ya upigaji wa picha ya kitambulisho.
 Afisa wa Vitambulisho Taifa akijaza fomu ya mmoja wa Wananchi katika hatua ya picha.

Wananchi wakihojiwa na Makarani wa Vitambulisho wakijaza Fomu za Vitambulisho vya Taifa waliofika katika skuli ya MtoPepo Chumbuni.

Credits: Zanzinews

Related

OTHER NEWS 5961457243874487197

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item