PICHA ZA AJALI ILIYOUWA WATU 19 MKOANI SINGIDA WAKIWEPO POLISI 4

Basi hilo la kampuni ya Sumry hufanya safari zake kati ya Kigoma na Dar-es-salaam. Dereva wa basi hilo alikimbia mara tu n...

Basi hilo la kampuni ya Sumry hufanya safari zake kati ya Kigoma na Dar-es-salaam. Dereva wa basi hilo alikimbia mara tu na baada ya ajali hiyo na kulitekeleza basi hilo.

Watu 19 wa kijiji cha Utaho wilayani Ikungi wamepoteza maisha wakiwemo askari wanne wa jeshi la polisi, baada ya kugongwa na basi la Summry wakati wakiwa wana toa msaada wa kumpakia marehemu kwenye gari la polisi aliye gongwa na gari kubwa ambalo halikufahamika mara moja .Mwandishi wa habari wa ITV alifika na kuwakuta wasafiri walionusurika wakiwa  katika kituo cha polisi cha Ikungi bila ya kujua hatima yao ya  safari baada ya basi lao kuwakanyaga na kuuwa watu 19

 Moja ya maiti ya ajali ya basi la sumry iliyo tokea katika kijiji cha Utaho Wilayani Ikungi ikisubiri kupakiwa katika gari la polisi.
 Gari la polisi likiwa limepakia maiti zaidi ya kumi zikipelekwa hospitali ya mkoa wa singida kwa ajili ya kuhifadhiwa na kutambuliwa

 Baadhi ya miili ya wakazi wa kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi, waliogongwa na basi la Summry ikiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa wa Singida mjini humo.

PICHA ZOTE NA :Elisante Mkumbo-Singida

Related

Desmond Tutu will NOT be going to Nelson Mandela's funeral: Spokesman for retired archbishop says he's not been granted credentials to attend the ceremony

Desmond Tutu pays tribute to Nelson Mandela at the memorial service in Johannesburg on Tuesday: The archbishop has announced that he's not been granted the credentials to attend Mr Mandela's fun...

ANC WATOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO KWA ALIYEWAHI KUWA KIONGOZI WAO MAREHEMU NELSON MANDELA LEO

Nelson Mandela - Madiba Mandla Mandela akiaga mwili wa marehemu babu yake  Nelson Mandela 14 December, 2013 huko Pritoria mjane wa marehemu Graca Machel Wajumbe wa ANC Grace Mach...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904769
item