BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Flossy Gomile-Chidyaonga  (pichani) amefariki dunia jana jijini Dar es salaam baada ya kuugua kw...

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Flossy Gomile-Chidyaonga  (pichani) amefariki dunia jana jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi.

“Ni kwa masikitiko makubwa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa (ya Malawi) unauarifu umma kufariki dunia kwa Balozi Flossy
Gomile-Chidyaonga baada ya kuugua kwa muda mfupi jijini Dar es salaam mchana
huu” (jana mchana), imesema taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara hiyo Quent Kalichero.
“Tangu mwaka 2006 Marehemu Bi Flossy Gomile-Chidyaonga alikuwa
Naibu Balozi wa Malawi London kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wa Malawi nchini
Tanzania mnamo Septemba mwaka 2011”, imesema taarifa hiyo na kuongezea kuwa
taratibu za mazishi zitatangazwa baada ya taratibu kukamilika.

Related

OTHER NEWS 1640962013849012991

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item