TASWIRA MBALIMBALI ZA MAZISHI YA MSANII RACHEL HAULE YALIYOFANYIKA JANA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

  Mchumba wa Marehemu Rachel, Saguda (katikati) akiwa na majonzi tele wakati wa mazishi ya mchumba wake   Majeneza yenye mwil...



  Mchumba wa Marehemu Rachel, Saguda (katikati) akiwa na majonzi tele wakati wa mazishi ya mchumba wake
 Majeneza yenye mwili wa marehemu Rachel na Mwanae yakiletwa Katika makaburi ya Kinondoni

  Majeneza yakishushwa katika kaburi

  Bibi Wa Marehemu akiweka mchanga katika kaburi ya Mtoto wa Marehemu Rachel aliyefariki wakati akijifungua
   Saguda mchumba wa Marehemu akiweka mchanga katika kaburi la Mchumba wake, Marehemu Rachel



 Mwenyekiti wa Bongo Movie akiweka Shada la Maua katika kaburi la Rachel

 Mwakilishi wa Kampuni ya Proin Promotions akiweka Shada la Maua wakati wa mazishi ya Marehemu Rachel Haule na mwanae yaliyofanyika katika Makaburi ya Kinondoni.


Mchungaji akiweka Shada la Maua katika kaburi la Marehemu Rachel Haule

Related

OTHER NEWS 123431724232103035

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item