HUYU HAPA NDIYE MSHINDI WA SHINDANO LA BIBI BOMBA KWA MWAKA 2014

  Bi Rusi akikabidhiwa zawadi yake. Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014 yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa Saadani P...

 Bi Rusi akikabidhiwa zawadi yake.

Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014 yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa Saadani Parking national hotel jijini Dar es salaam , mgeni rasmi alikuwa Bi.Anna Kilango. Aliyefanikiwa kuibuka mshindi usiku huo ni Bi Rusi Manfred ambaye alijipatia zawadi ya shilingi milioni kumi za kitanzania na kiwanja chenye thamani ya shilingi Milioni tano.


 Mashabiki wakimshangilia Mshindi
 Bi Rusi akiwa ameshikiria Hati ya kiwanja kama
moja ya zawadi yake.
 
Mkurugenzi wa Tanzania Women's Bank (TWB) Bi Margareth Chacha  akitoa pongezi zake. 

Related

OTHER NEWS 3757115397369309629

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item