WALIOITWA KAZINI SERIKALINI MWEZI JUNE

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu w...

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA


KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 05 hadi 06 Juni, 2014 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu
usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili.

Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vipya vya kazi katika muda ambao umeainishwa katika barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) vya masomo kuanzia kidato
cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.

Kwa Waombaji Kazi walioitwa katika Wizara ya Maliasili na Utalii wote kwa pamoja wanatakiwa kuripoti Chuo Cha Taifa cha Utalii Tandika, Wilayani Temeke tarehe 14/07/2014 Saa 2:00 Asubuhi Bila kukosa.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi kwa walioitwa katika Taasisi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania zimetumwa kupitia anuani zao. Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba mara nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.

Related

KAZI 2758921044261909022

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item