JOSHUA NASARI & ANANDE NNKO WEDDING

Joshua Nassari na Anande Nnko wakionesa vyeti vyao vya ndoa. Gavana wa kwanza wa Tanzania Mzee Edwin Mtei na Mama Mtei pia waliku...


Joshua Nassari na Anande Nnko wakionesa vyeti vyao vya ndoa.
Gavana wa kwanza wa Tanzania Mzee Edwin Mtei na Mama Mtei pia walikuwa katika inada hiyo.
Wazazi wa Maharusi ,Joshua Nassari na Bi Anande Nnko.
Bw na Bi Joshua Nassari na wakiweka Sadaka zao katika kapu la sadaka.
Maharusi ,wakapata nafasi ya kusalimiana na Mzee Edwin Mtei.

Ibada ya ndoa ikawa imefika tamati na maharusi wakatoka kanisani tayari kwa msafara wa magari kuelekea uwanjani.
Mbunge Joshua Nassari na Anande Nnko wakiwa mbele ya zawadi yao ya
Ng'ombe ilitolewa na waumini wa Kanisa la Kilinga ambako ibada ya ndoa
ilifanyika,kanisa linaloongozwa na Mchungaji Babu.
Mbunge Joshua Nassari na Anande Nnko wakiteta jambo .
Baba Mzazi wa Joshua Nassari,Mzee Samwel Nassari akimpongeza mwanae kwa hata hiyo.
Anande akianza majukumu ya kuhakikisha Mzee anakuwa nadhifu kila wakati.
Maharusi wakaaga katika viwanja vya Kanisa la Kilenga .
Bi Harusi Anande Nnko akiwa katika gari tayari kuelekea katika viwanja vya Usa-River Academy.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari na ,Anande Nnko
wakiwa ndani ya gari muda mfupi baada ya kufunga ndoa katika kanisa la
Kilinga wilayani Arumeru tayari kwa kuelekea viwanja vya  Usa-River
Academy.






Maharusi wakiwa katika gari la wazi huku wakipunga mikono kwa watu waliokuwa barabarani.






Source: Wazalendo25 Blog

Related

SHEREHE 827313014804476087

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item