Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma

  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Kamat...

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma, kulia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Abrahaman Kinana. 
 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma, kulia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Abrahaman Kinana 
  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma Agosti 19, 2014
PICHA NA IKULU


 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk.Maua Abeid Daftari akijadiliana jambo na mjumbe mwenzake Samia Suluhu Hassan muda mfupi kabla ya kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa hakijaanza kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma.
 Katibu wa NEC Oganizesheni Dk.Mohamed Seif Khatibu akizungumza na Mjumbe wa Kati Kuu ya CCM DK. Salim Ahmed Salim ndani ya ukumbi wa mkutano wa White House kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. 
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakijadiliana kabla ya kuanza kwa kikao kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma, kutoka kushoto ni Profesa Anna Tibaijuka, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Zakia Meghji na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Dodoma

Related

SAKATA LA KOROSHO LIWALE, NYUMBA 20 ZATEKETEZWA

 Takriban nyumba 20 zimeteketezwa katika maandamano yaliyofanywa na wakulima wa Korosho pamoja na waandamanaji wengine Kusini mwa Tanzania. Hii ni kwa mujibu wa mbunge mmoja wa eneo hilo.Mb...

WANAWAKE KWENYE MIEREKA TUPO, HII NI KUTOKA SENEGAL

Nchini Senegal, miereka ya kitamaduni inapendwa zaidi kuliko soka huku wachezaji wakijipatia pesa nyingi na hata kuwa watu maarufu. Katika sehemu nyingi za nchi mchezo huu ni wa wanaume pekee la...

MBUNGE AMWONYA RAIS KUTOIPIGIA DEBE CCM

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amemtahadharisha Rais Jakaya Kikwete asiitumie ziara yake ya Mkoa wa Mbeya kukipigia debe Chama Cha Mapinduzi(CCM) bali afanye kazi za kiserikali. ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item