MKUTANO WA VISIWA WAFANYIKA NCHINI SAMOA

  Rais wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa nchi za Visiwa   Bw.Tuiluepa Sailele Malielegaoi,akitoa hotuba yake katika mkutano huo wenye m...

 Rais wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa nchi za Visiwa   Bw.Tuiluepa Sailele Malielegaoi,akitoa hotuba yake katika mkutano huo wenye malengo ya kuleta maendeleo ya nchi ulioanza leo katika jengo la Apia nchini Samoa utakaoendelea kwa siku tatu kwa udhamini wa UN (kulia) Katibu Mkuu wa UN Ban Ki-moon na Bw. Wu Hongbo Katibu Mkuu wa Mkutano huo,(katikati).  
[Picha na Ramadhan Othman Samoa.]

 Picha ya pamoja ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika Mkutano wa tatu wa Kimataifawa nchi za  Visiwa  wenye malengo ya kuleta maendeleo ya nchi ulioanza leo katika jengo la Apia nchini Samoa uliodhaminiwa na UN. [Picha na Ramadhan Othman Samoa.]

 Maonesho mbali mbali ya Biashara yakiwa nje ya maeneo karibu na Ukumbi wa  Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa nchi za   Visiwa wenye malengo ya kuleta maendeleo ya nchi ulioanza leo katika jengo la Apia nchini Samoa uliodhaminiwa na UN.
 [Picha na Ramadhan Othman Samoa.]

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Bw.Ban Ki-moon akitoa hotuba yake katika Mkutano wa tatu wa Kimataifa  wa Nchi za Visiwa wenye malengo ya kuleta maendeleo ulioanza leo katika jengo la Apia nchini Samoa utakaoendelea kwa siku nne kwa udhamini wa UN. 
[Picha na Ramadhan Othman Samoa.]

 Baadhi ya washiriki wa  Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa nchi za  Visiwa   wenye malengo ya kuleta maendeleo ya nchi ulioanza leo katika jengo la Apia nchini Samoa kwa uliodhamini wa UN wakifuatilia kwa makini Mkutano huo ukiendelea kwa hotuba mbali mbali za Viongozi. 
[Picha na Ramadhan Othman Samoa.]

 Rais wa Serikali ya Visiwa vya Comoro Ikililou Dhoinine akitoa hotuba yake katika mkutano wa tatu wa Kimataifa wa nchi za Visiwa  wenye malengo ya kuleta maendeleo ulioanza leo katika jengo la Apia nchini Samoa utakaoendelea kwa siku nne kwa udhamini wa UN (kulia) ni Bw. Wu Hongbo Katibu Mkuu wa Mkutano. 
[Picha na Ramadhan Othman Samoa.]

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hotuba yake katika Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa nchi za Visiwa  wenye malengo ya kuleta maendeleo ulioanza leo katika jengo la Apia nchini Samoa akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Jakaya Mrisho Kikwete,mkutano huo wa  kwa siku nne umedhamini wa UN  [Picha na Ramadhan Othman Samoa.]

Jengo la Mkutano wa Tatu wa Kimatifa wa Nchi za Visiwa linaloitwa Apia kama linavyoonekanwa mkutano huo umejumuisha nchi mbali mbali ikiwemo Zanzibar.
 [Picha na Ramadhan Othman Samoa.]

Related

OTHER NEWS 7930661556826103467

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item