RAIS WA ZANZIBAR MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI CHUO CHA UDAKTARI ZANZIBAR

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa zawadi kwa Fatma Mrisho Haji akiwa ni miongoni mwa w...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa zawadi kwa Fatma Mrisho Haji akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliopata zawadi katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia Ali Muhsin Mratibu wa Chuo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora zaidi ya wote walimaliza masomo ya Udaktari Nadhira Suleiman Said katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia Ali Muhsin Mratibu wa Chuo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja, jumla ya wanafunzi 35 wamehitimu mafunzo na kupewa shahada zao leo (kulia) Waziri wa Afya Rashid Serif Suleiman (kushoto) Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Yussuf Said Ahmed baada ya kukutunukiwa shahada ya Udaktari wakati wa Mahfali ya kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada Yussuf Said Ahmed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo ya Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa mahfali ya kwanza yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.

  Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada Yassin Khamis Mohamed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo ya Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa mahfali ya kwanza yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.

 Miongoni mwa wahitimu wa Mafunzo ya Udaktari yaliyotolewa na Mataktari Bingwa kutoka Nchini CUba wakila kiapo cha Utii wa kazi zao mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgeni rasmi katika mahafali ya kwanza yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
 Wahitimu wa Mafunzo ya Udaktari wapatao 35 yaliyotolewa na Mataktari Bingwa kutoka Nchini Cuba wakila kiapo cha Utii wa kazi zao mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgeni rasmi katika mahafali ya kwanza yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
 Walimu Madaktari Bingwa katika Chuo cha Madaktari Zanzibar kutoka Nchini CUBA wakiitikia Wimbo wa Taifa lao ulipopigwa  katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
 Walimu Madaktari Bingwa katika Chuo cha Madaktari Zanzibar kutoka Nchini CUBA wakiwa katika Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
 Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume na Mkewe Mama Shadya Karume (kulia) pamoja na Viongozi wengine Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo wakiwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar mafunzo yaliyotolewa na Madaktari Bingwa kutoka CUBA yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
 Waalikwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar wakimsikiliza mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja .
 Balozi wa Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo alipokuwa akitoa salama zake wakati wa Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar mafunzo yaliyotolewa na Madaktari Bingwa kutoka CUBA yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

 Wahitimu wa Mafunzo ya Udaktari wakiwa katika maandamano wakati wa Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman (katkati) wakisimama wakati wimbo wa taifa ukipigwa katika Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja,(kushoto) Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk.Mohamed Saleh Jidawi.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Related

OTHER NEWS 6463651675881798048

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item